Share

Baiskeli inayoendeshwa majini

Share This:

Ikiwa ulidhani kuwa haiwezekani kuendesha baiskeli ndani ya maji, basi umenoa! Jamaa wawili kutoka New Zealand wametengeneza baiskeli maalum inayoendeshwa majini kwa kutumia teknolojia sawa na inayotumika kutengeneza boti. Tazama

Leave a Comment