Share

“Bajeti imetayarishwa kwa umakini, inahitaji kuungwa mkono” – Prof. Tibaijuka

Share This:

Mbunge wa Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma mwisoni mwa wiki kuchangia mapendekezo katika Bajeti Kuu ya Serikali inayoendelea kujadiliwa kwa mwaka wa fedha 2017/18 na kulieleza Bunge hali ya uchumi ilivyo nchini.

Leave a Comment