Share

Banda la Ethiopia lang’ara maonesho ya Chakula Cologne

Share This:

Ethiopia ni miongoni mwa mataifa matano ya Afrika kati ya 107 duniani yanayoshirikia maonesho makubwa kabisa ya Kimataifa ya Vyakula na Vinywaji-Anuga ambayo leo hii yameingia siku yake ya nne mjini Cologne. Zaidi kuhusu banda la taifa hilo tazama vidio ifuatayo.

Leave a Comment