Share

BBC MITIKASI LEO 02.05.2019

Share This:

YALIYOMO…Athari ya kesi zinazochukua muda mwingi mahakamani kwa uzalishaji wa makampuni barani Afrika. Pia tunakujuza kuhusu utafiti mpya kuhusu fedha kwa biashara ndogo, na vidokezo vya kukusaidia kufanikisha malengo yako. Aidha tunaskia kutoka kwa kwaya ya vijana ya Kenya inayofanya matamasha viungani vya jiji la Nairobi, huku mamlaka ya jiji likiwashutumu kwa kusababisha kelele bila kibali cha kutumbuiza. Peter Mwangangi anaeleza zaidi

Leave a Comment