Share

BBC MITIKASI LEO 11.07.2019

Share This:

Na Peter Mwangangi. Michuano ya kandanda ya mataifa Afrika yanaingia dakika za lala salama nchini Misri. Lakini mbona mashabiki hawahudhurii mechi kwa wingi? Serikali ya Kenya yafuta kwa muda leseni za makampuni ishirini na saba ya kucheza kamari au bahati nasibu. Wafanyakazi wa sekta ya umma nchini Zimbabwe wakataa nyongeza ya mshahara

Leave a Comment