Share

BBC MITIKASI LEO 18.04.2019 ALHAMISI

Share This:

YALIYOMO! Tunaangazia gharama ya kubadilisha jina la nchi, mwaka mmoja baada ya Swaziland kubadilisha jina na kuwa eSwatini. Pia tunazungumza na mshauri wa masuala ya kodi kuhusu hatua ya serikali ya Kenya kuanza kukata asilimia 1.5 kwa wafanyakazi kuanzia mwezi May mwaka huu ili kuboresha makazi. Peter Mwangangi anakujuza zaidi

Leave a Comment