Share

BBC MITIKASI LEO ALHAMISI 04.07.2019

Share This:

Zawadi Mudibo na Makala haya. Yaliyomo… Tuna-angazia Moja kwa moja kutoka kongamano la Blockchain mjini Kampala, Uganda! Tutakufahamisha kuhusu teknolojia hii na umuhimu wake. Pia, Kwa kawaida riadha huusisha binaadam na wanyama wa aina fulani, lakini ni mara chache sana kushuhudia nguruwe wakifanya mashindano ya riadha tena kwa mpangilio maalum.

Leave a Comment