Share

BBC MITIKASI LEO ALHAMISI 19.09.2019

Share This:

Na Peter Mwangangi. Ulimwengu unaadhimisha siku ya uhamasisho kuhusu kuumwa na nyoka. Tunakujuza kuhusu juhudi za kutafuta tiba ya sumu ya nyoka. Pia, tunaangazia ukosefu wa takwimu kuhusu mahitaji ya wateja katika biashara barani Afrika.

Leave a Comment