Share

BBC MITIKASI LEO IJUMAA 05.07.2019

Share This:

YALIYOMO…Afcon imefikia hatua ya kumi na sita bora, Kulikoni kibiashara? Tutakujuza. Kampuni ya Naspers ambayo inamiliki DSTV na nyinginezo yateua mkurugenzi mkuu wa kwanza mwanamke..Kampuni ya mauzo kupitia njia ya Mtandao ya Amazon ambayo ndio mbabe wa mauzo duniani yaadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake.
David Nkya anakujuza mengi zaidi.

Leave a Comment