Share

BBC MITIKASI LEO IJUMAA 15.11.2019

Share This:

Na Zawadi Mudibo. Yaliyomo, tunaangazia sekta ya soko la bidhaa HALAL, na jinsi biashara zinavyoweza kushamiri kutokana nalo. Baadaye, Kenya na Somalia kwa mara nyingine tena zakubaliana kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia. Kulikoni? Makinika.

Leave a Comment