Share

BBC MITIKASI LEO IJUMAA 20.09.2019

Share This:

Na Peter Mwangangi. Tunaangazia wanawake wa kiafrika wanaofanya kazi ughaibuni, changamoto zao, na jinsi wanavyochangia katika ukuaji wa uchumi hapa barani. Pia tunazungumzia jinsi mabadiliko katika mitaala ya elimu barani Afrika inasaidia kukidhi mahitaji ya soko la sasa la ajira, na mengineyo.

Leave a Comment