Share

BBC MITIKASI LEO IJUMAA 24:05:2019

Share This:

Tunakueleza iwapo bara hili limepiga hatua za kuridhisha kibiashara na uchumi, huku likiadhimisha siku ya Afrika. Aidha tunaangazia suluhu za kupunguza migao ya nishati katika mataifa ya Afrika. Pia tunakutana na msanii David Mathenge anayejulikana kama ‘Nameless’ kuhusu siri ya kutamba katika muziki kwa muda mrefu. Peter Mwangangi ana maelezo zaidi

Leave a Comment