Share

BBC MITIKASI LEO JUMATANO 03.07.2019

Share This:

Zawadi Mudibo na makala haya…Tunakadiria uhusiano kati ya ubora wa hati za usafiri za nchi yako na uwezo wa kufanya biashara kimataifa. Kisha, tunakutana na mwanamke mmoja kutoka Zimbabwe aliyewashangaza wengi kwa kuacha kazi yake ili awe mcheza dansi.

Leave a Comment