Share

BBC MITIKASI LEO JUMATANO 10.09.2019

Share This:

Na Zawadi Mudibo. Serikali ya Tanzania imeanzisha takwimu kwa wanafunzi wenye ulemavu wanaohitimu katika fani mbalimbali nchini humo na wenye sifa za kupata ajira. Baadaye, ripoti mpya yaonyesha kuwa idadi kubwa ya watumiaji wa mtandao hawajali kuhusu usalama wa taarifa zao binafsi kwenye intaneti.

Leave a Comment