Share

BBC MITIKASI LEO JUMATANO 18.09.2019

Share This:

Na Peter Mwangangi. Kampuni ya utoaji mafunzo ya programu za kompyuta Andela imewaachisha kazi wahandisi barobaro 400 nchini Uganda, Kenya na Nigeria. Pia tunadadisi iwapo vijana barani Afrika wamewezeswa vilivyo katika sekta ya kiufundi na biashara ili kujiendeleza kiuchumi.

Leave a Comment