Share

BBC MITIKASI LEO JUMATATU 09.09.2019

Share This:

Na Zawadi Mudibo….Tunazungumza na Rais wa Malawi Peter Mutarika aliyechaguliwa tena kuhusu uchumi na mwelekeo wa taifa hilo baada ya maandamano kushuhudiwa kuhusiana na uchaguzi…Baadaye, Ripoti mpya yasema Malaria inaweza kumalizwa kabisa duniani ifikapo mwaka 2050. Lakini gharama ya kuangamiza ugonjwa huu ni ipi? Na Iwapo Ilikupita, msani wa Marekani Nicki Minaj ameamua kustaafu ili kuanzisha familia yake.Nicky ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Grammy huenda akafunga ndoa na mchumba wake Kenneth Petty.

Leave a Comment