Share

BBC MITIKASI LEO JUMATATU 12:08:2019

Share This:

Na Zawadi Mudibo. Yaliyomo, ujumuishaji wa makampuni yanayochipukia katika soko la mtaji kufanyia majaribio miamala ya kiteknolojia, una manufaa gani? Baadaye, Starehe Gharama….lakini wajua, unaweza kujipodoa, ukarembeka na kuvutia bila kugharamika pakubwa?

Leave a Comment