Share

#BBCBiasharaBomba: Kutana na wakili huyu ambaye pia ni dereva wa matatu au daladala nchini Kenya

Share This:

Shadrack Obure ni Wakili.
Shadrack vilevile ni dereva wa magari ya uchukuzi wa abiria yanayofahamika kama Matatu nchini Kenya au Daladala nchini Tanzania. Ilikuwaje hadi wakili huyu akaingia katika biashara hii yenye mihemko chungu nzima ?
Tazama makala haya ya kwanza ya kipindi chetu cha biashara cha #BBCBiasharaBomba.

Leave a Comment