Share

Bei ya Vyakula msimu huu wa sikukuu soko la Buguruni DSM

Share This:

Ayo TV imetembelea Soko la Buguruni Jijini Dar es salaam na kujionea bei alisi ya Vyakula katika soko la Buguruni Dar es salaam, Leo April 13, Wafanyabiashara wamezitaja bei za Mchele, Matunda, Nyanya, pamoja na Viazi

Leave a Comment