Share

Bella Fasta awawashia moto wasanii wa filamu alioandamana kisa filamu za nje

Share This:

Msanii wa muziki ambaye pia ni muigizaji, Bella Fasta amefunguka kwa kudai kuwa hajapendezwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wa filamu kuandamana kisa filamu za nje kwa madai hatua hiyo ilitakiwa kujadiliwa na wasanii wote wa filamu na siyo vikundi vya watu fulani ndani ya tasnia hiyo.

Leave a Comment