Share

Bendera ya shirika la usafiri wa anga ulimwenguni yapandishwa Mlima Kilimanjaro

Share This:

Mamlaka ya usafiri wa anga nchini imepandisha bendera ya shirika la usafiri wa anga ulimwenguni -ICAO kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka sabini na tano ya makubaliano ya Chicago ya kuanzishwa kwa shirika hilo.

Leave a Comment