Share

Bendi ya Satori kutoka Afrika Kusini inavyoendeleza sifa za Nelson Mandela

Share This:

Bendi ya Satori kutoka Afrika Kusini inaendeleza sifa za kiongozi hayati Nelson Mandela huku wakisema kuwa sifa zake hazipaswi kusahaulika abadan. Tazama video hii ya makala #VijanaMubashara #77Asilimia

Leave a Comment