Share

Benki ya maziwa ya mama jijni Kampala

Share This:

Idadi kubwa ya watoto njiti yaani wale wanaozaliwa kabla ya kutimiza miezi tisa ya mimba hufariki au kushambuliwa na magonjwa kutokana na tatizo la mama kukosa maziwa ya kutosha. Ili kukabiliana na hali hii, daktari mmoja wa watoto katika hospitali ya St. Francis Nsambya nchini Uganda amejitokeza na mpango wa kukusanya maziwa kutoka kwa akina mama wahisani na kuwapa watoto hao wakihifadhiwa katika kitamizi. Tazama vidio kutoka kwake Emmanuel Lubega.

Leave a Comment