Share

Bi.Jacqueline Mengi awavisha nishani maalum washindi wa tuzo za mafanikio ya I CAN

Share This:

Mke wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dkt.Reginald Mengi, Bi.Jacqueline Mengi amewavisha nishani maalum kama mabalozi wa heshima washindi wa tuzo za mafanikio ya I CAN, kwenye fani mbalimbali kwa watu wenye ulemavu mwaka 2019.

Leave a Comment