Share

Biashara ya Chakula yawanufaisha wanawake

Share This:

Umewahi kununua na kula chakula kilichotayarishwa na Mama Lishe (Mama Ntilie) au sivyo? Katika miji mikubwa kama Dar es Salaam nchini Tanzania, mamia ya wanawake wamejiajiri katika shughuli za utayarishaji chakula iwe kwenye migahawa maalum au kwa kutembeza kwenye maeneo yaliyo na wateja. Mwandishi wa DW Yakub Talib anaangazia jinsi wanawake wanavyonufaika na kazi hiyo.

Leave a Comment