Share

Biashara ya Chips Mayai Tanzania

Share This:

Biashara ya chipsi mayai ni miongoni mwa biashara ambazo hunoga Tanzania. Hii ni kando na kuwa imetoa nafasi nyingi ya ajira kwa watu. Veronica Natalis anasimulia zaidi. #Tanzania #chipsmayai

Leave a Comment