Share

Biashara ya nywele za msokoto Tanzania

Share This:

Nchini Tanzania imezuka biashara ya uuzaji wa nywele aina ya msokoto (rasta). Wanawake na wanaume wanaopenda mitindo ya rasta huzifuga nywele zao na baadae huziuza kwa wengine wanaozipenda lakini wasioweza kuzifuga hadi kuwa ndefu.

Leave a Comment