Share

Biashara ya Rasta Tanzania

Share This:

Je, wajua kuwa nywele za mtindo wa rasta asili ni dili sasa nchini Tanzania? Wafugaji wa nywele hizo – wanawake kwa wanaume wanayo fursa ya kuuza nywele zao walizofuga na kuzitunza vizuri kwa wale wanaotaka kuwa na Rasta lakini hawana uwezo wa kuzifuga. Bei ni kuanzia shilingi laki mbili hadi milioni moja. Fahamu zaidi kupitia vidio hii ya “Stringer” wetu wa Dar es Salaam Yakub Talib.

Leave a Comment