Share

BIBI KIZEE AKITOKA KILABUNI AUAWA, MUUAJI KAKIRI

Share This:

Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa linamshikilia mtu mmoja anayefahamika kwa jina la William Saimon umri miak 28 kwa kosa la kumkaba na kumbaka bibi kizee Jema Macheho umri miaka 77

Leave a Comment