Share

Bingwa wa ndondi aliyerejea Sudan Kusini kutoa mafunzo kwa vijana

Share This:

Katika makala ya afrika yasonga mbele tunamtizama bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa raia wa Sudan Kusini aliyerejea kutoka Canada, Puro Okello. Alikimbia vita akiwa na umri wa miaka 14 na kuingia katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko Kenya kabla ya kuhamia Canada. Puro alirejea Sudan kusini mwaka 2008 na kuanza kutoa mafunzo kwa wanamasumbwi wachanga.

Leave a Comment