Share

BINTI WA MIAKA 17 APOTEA: TUNAUMIA, MTU ANATUPIGIA SIMU NIMEMPIGA MIMBA

Share This:

BINTI WA MIAKA 17 APOTEA: TUNAUMIA, MTU ANATUPIGIA SIMU NIMEMPIGA MIMBA

Binti mwenye umri wa miaka 17, Neema Said ambaye anasoma kidato cha nne katika shule ya sekondani ya Hananasif Kinondoni jijini Dar es salaam, ametoweka nyumbani toka March 9 na kutokomea kusikojulikana. Mama wa watoto huyo, Vaileth Fernandaes amesema tayari wameshatoa taarifa polisi yoyote anataye muona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu 0686673626.

Kaka wa binti huyo, Calvin Andrew Fernandes ameshangazwa na baadhi watu ambao wanaleta masihara kwenye jambo hilo kwa madai kuwa watu wanampigia simu na kumwambia mdogo wako nimempiga mimba niko naye Arusha.

Leave a Comment