Share

BOB WANGWE ASHINDA KESI: SASA WAKURUGENZI HAWATASIMAMIA UCHAGUZI

Share This:

Leo tarehe 10 Mei 2019, mbele ya jopo la majaji watatu lililoongozwa na Jaji Atuganile Ngwala, limetoa hukumu iliyompa ushindi mlalamikaji Bob Chacha Wangwe, kwenye kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Attorney General), Mkurugenzi wa chaguzi za taifa na Tume ya Uchaguzi wa Taifa; juu ya vifungu vya sheria ya uchaguzi wa taifa vinavyotoa mamlaka kwa Wakurugenzi ambao ni watumishi wa Umma, kusimamia chaguzi.

Leave a Comment