Share

Bobi Wine aachiliwa huru na mahakama ya kijeshi

Share This:

Wakenya waandamana kuishinikiza serikali ya Uganda kuzingatia sheria na kuwachia huru wafungwa wa kisiasa. Hayo yanajiri muda mfupi baada ya mbunge wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine kuachiwa huru na mahakama ya kijeshi. Papo kwa Papo 23.08.2018.

Leave a Comment