Share

Bobi Wine aongoza maandamano kupinga kodi ya kutumia mitandao ya kijamii

Share This:

Bobi Wine ambaye ni mwanamuziki na pia mbunge nchini uganda wameongoza baadhi ya raia wa nchi yake kuandamana jijini Kampala kupinga kodi mpya kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. #PapokwaPapo

Leave a Comment