Share

Bodaboda ni kazi inayomletea maendeleo

Share This:

Tofauti na vijana wanaoamua kulalamika kutokana na ukosefu wa ajira baada ya wao kuhitimu masomo, kijana huyu aliyehitimu kuwa mwalimu aliamua kujiingiza katika kazi ya bodaboda na sasa amepiga hatua maishani. Tazama video ujue zaidi kwenye makala #VijanaMubashara #77Asilimia

Leave a Comment