Share

Bondia Selemani Bangaiza apigwa K.O ya maajabu Australia/ Serikali yamfungia

Share This:

Waziri wa Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ameagiza bondia Selemani Bangaiza (20) afungiwe baada ya kushindwa pambano nchini Australia kwa kusalimu amri mzunguko wa 1 kwa kuinua mikono juu, kabla mpinzani wake hajarusha ngumi hata moja

Leave a Comment