Share

Borris Johnson Ajiuzulu Uingereza HIRES

Share This:

Serikali ya waziri mkuu wa Uingereza Theresa May imepata mtikisiko baada ya waziri wa mambo ya nje Boris Johnson kufuta nyayo za waziri wa Brexit David Davis na kujiuzulu wadhifa wake siku ya Jumatatu, wakipinga mipango ya waziri mkuu May kuhusiana na suala zima la Brexit. Papo kwa Papo 09.07.2018.

Leave a Comment