Share

BOTI ILIYOBEBA ABIRIA 56 YAWAKA MOTO ZIWA VICTORIA, RC NA RPC WAONGEA

Share This:

Boti ndogoinayofanya safari zake kutoka bandari ya Kemondo iliyopo Wilaya ya Bukoba kuelekea Kisiwa cha Bumbile kilichopo ndani ya Victoria ikiwa na abiria 56 imewaka moto ikiwa ndani ya maji,Kamanda wa Polis na Mkuu wa Mkoa Kagera wameongea.

Leave a Comment