Share

Boti lililotengenezwa kwa plastiki lawasili nchini Tanzania

Share This:

Boti la kwanza lililotengenzwa kwa taka za plastiki huko Lamu Kenya limefika visiwani Zanzibar. Boti hili liliundwa katika jitihada za kukabiliana na tatizo la taka za plastiki zilizojaa katika ufukwe wa bahari Lamu pwani ya Kenya. #plastiki #boti #tanzania

Leave a Comment