Share

Brand ya African Boy imemfanya Jux kupata dili nono

Share This:

Staa wa muziki wa RnB Juma Jux ambaye pia ni mpenzi wa muimbaji Vanessa Mdee ametuonyesha goodnews kupitia instagram account yake baada ya ku-sign mkataba na kampuni kubwa nchini China ya Chinese Manufacturer Vendom kwa ajili ya kuanza kufanya uzalisha wa bidhaa za brand ya African Boy. Juma Jux alianzisha bidhaa za brand yake ya African Boy akiwa China kwa ajili ya masomo yake lakini kutokana na Wachina kushindwa kumuita jina lake walianza kumuita African Boy ndipo brand ya African Boy ilipoanza kukua na kujulikana hadi kuanza kutengeneza bidhaa mbalimbali.

Leave a Comment