Share

BREAKING: Boss wa zamani ATCL ahukumiwa jela miaka 6

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) David Mataka na aliyekuwa Kaimu Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha ambaye ni Askofu wa Kanisa la Pentecoste Motomoto, Elisaph Mathew.

Leave a Comment