Share

BREAKING: Mkuu wa Mkoa atajwa kwenye ufisadi wa Bilioni 3.5 Bungeni

Share This:

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) Vedasto Ngombale amesema kuwa katika ukaguzi maalum katika kipindi cha mwaka 2012 hadi 2017 kamati yake imebaini kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatma Mwasa alitumia madaraka yake vibaya wakati wa uongozi wake na kusababisha ubadhirifu wa Shilingi Bilion 3.5

Leave a Comment