Share

BREAKING NEWS: Joel Bendera Afariki Dunia ,Muhimbili wathibitisha

Share This:

Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu

Leave a Comment