Share

BREAKING NEWS: Mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali

Share This:

Taarifa zilizoifikia millardayo.com muda huu kuhusiana na mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali ya gari akiwa katikati ya Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.

MC Pilipili amepata ajali akiwa kwenye garia aina ya Prado na kukimbizwa hospitali, millardayo.com na AyoTV zinafuatilia kwa ukaribu ili kuweza kukuletea habaria kamili.

Leave a Comment