Share

BREAKING: Nyalandu kuanza kuchunguzwa na TAKUKURU na Polisi, Kigwangalla aagiza

Share This:

Kutoka Bungeni Dodoma leo November 13, 2017 ni agizo alilotoa Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kuagiza Jeshi la Polisi pamoja na TAKUKURU kuanza kumchunguza mara moja aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hiyo Lazaro Nyalandu kufuatia tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

Leave a Comment