Share

BREAKING: Nyumba za “Dr. Shika” kuuzwa tena kesho Dar es salaam

Share This:

YONO Auction Mart wamekuja tena mbele ya Watanzania kutangaza maamuzi yao mengine ambayo yatafanywa kesho Dar es saalam kuuza zile nyumba za “Dr. Shika” , wameongea kila kitu na masharti kwenye hii video

Leave a Comment