Share

BREAKING: Polisi walivyokamata Dawa za Kulevya katika msafara wa Msiba

Share This:

Jeshi la polisi mkoani Arusha limemkamata Frank Samweli kwa tuhuma zakusafirishwa mirungi kilo 207 ambapo mtuhumiwa huyo amekamatwa baada yakujiingiza katika msafara wa marehemu ambao alikuwa hausiani nao

Leave a Comment