Share

BREAKING: RC Mwanza kamsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Jiji

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo September 13, 2017 ameweka Kambi Wilaya ya Ilemela kwa lengo la kusikiliza changamoto za wananchi wenye matatizo ya migogoro ya ardhi na moja ya hatua alizochukua baada ya kuelezwa changamoto ni kumsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Leave a Comment