Share

BREAKING: Serikali yachukua Mashamba la Yusuf Manji

Share This:

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta mashamba mawili yalioko Kigamboni Dar es salaam na kurudisha mashamba hayo kwa Serikali ya wilaya ya kigamboni.

Ufutaji hu ni baada ya wamiliki hao kushindwa kuyaendeleza na kuwanyima fursa wananchi kufanya shughuli zingine na kuinyima wilaya kufanya shuguli za viwanda na uwekezaji mwingine kutokana na kuhodhi kwa maeneo hayo.

Leave a Comment