Share

BREAKING: Spika aagiza Zitto na Kubenea wahojiwe, ni kuhusu ishu ya Lissu

Share This:

September 12, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kuitwa kwenye Kamati za Maadili za Bunge, Wabunge Zitto Kabwe na Saed Kubenea baada kubainika kutoa matamshi yenye utata kuhusu kushambuliwa Tundu Lissu.

Leave a Comment